Mtu mume na mtu mke wanapooana huwa wamejaa 'upendo' wa hali ya juu! Na baada ya hapo hata mwaka haujapita utasikia wanataka kuachana.
Nimeshuhudia mtu mke aloolewa akinunua vitu dukani anaandika jina lake. Alipoulizwa anasema 'naandika kwa jina langu kwa kuwa hujui ya leo na kesho'. Maana yake ni kuwa hajui kama ataishi mpaka mwisho wa maisha yake na huyo bwana.
Kwa maelezo yake anadai kuwa itasaidia wakati wa kugawana mali hata kama mtu mume ndo alotoa hela ya kununua hivo vitu!
Hii ni dalili ya kutojitambua na kutojiamini!

Naaaaaam mkuu. Umeliona hilo lililotukia "nyuma ya pazia".
ReplyDeleteUkweli ni kwamba fikra walizonazo akilini ndizo zinazotengeneza mazingira ya talaka kwa kuwa uwazacho ndicho" kitokeacho. Wamesahau kuwa...........YOUR MENTAL PICTURE CAN DETERMINE YOUR ACTUAL FUTURE"
Wanalo hilo
Mmmmh!
ReplyDeleteNasikia kuna wataalamu sikuhizi wanaondoka kabisa na kondomu zao na kuzitumbukiza kwenye shimo la choo ikibidi kabla hawajaamua mama watoto hata wa MUDA KIKULIPIA anafaa kuzaa vitoto vyao ingawa kitaalamu labda bado wanaweza kuoanishwa na kitendo cha nanihii.
Ila kunajamaa niliyekuwa nadakanaye KILAJI alidai hata wakikuta nywelenywele zako kwenye nywelenywele zake zachini kama kiashirio maungo yenu ya chini bila kificha nyeti yalisuguana unaweza kukana kama mbeguzo haziko kwenye kidimbwi champenzi kile cha ndani ambako ujiuji wa kiume KIUTUUZIMA hukusanyika huko.:-(
Mambo ya siku hizi weeacha tu MKUU!
:-(
Mambo ya uhusiano ni magumu sana,nilisoma makala kwenye gazeti moja la Kenya iliyosimulia tukio la jamaa mmoja aliyemtoroka mchumba wake siku ya harusi.Walikuwa wameshafanya maandalizi yote ya harusi kumbe jamaa alikuwa amesubiri tu siku ifike ili atoroke.
ReplyDeleteBibi harusi mtarajiwa alijitahidi kumtafuta bwanaake lakini jamaa alikuwa amezima simu ikabidi aende kwa wazazi wake mwanaume na kumkuta jamaa akidai ameamua kuahirisha zoezi hilo hadi baada ya mwaka mmoja,mwanamke yule aliyekuwa anamzidi jamaa kiumri kwa miaka 7 alisikitika sana,alilia sana na alikuwa tayari kuvikwa pete na yeyote!