Tuanze safari yetu ya pamoja kutafakari hali na mustakabali wa maisha ya Kijijini Kwetu. Haina maana ya kule nitokako bali hata kwako pia. Yawezekana huna ukakika kama sitafika! Karibu sana
Friday, October 28, 2011
Hatimaye Afanyiwa Upasuaji
Hatimaye Kaka Shaban Kaluse amefanyiwa upasuaji kufuatia ajali ya gari iliotokea juzi asubuhi. Upasuaji ulifanyika saa 6 usiku wa kuamkia leo.
Amelazwa wodini na anaendelea vema japo mkono ulivimba sana mara baada ya upasuaji.
Kila la heri Kaka Kaluse, na tunakuombea upate nafuu na kupona haraka
ReplyDeleteMungu yu pamoja nawe kaka yetu nnasi tupo pamoja nawe.
ReplyDelete