Tuanze safari yetu ya pamoja kutafakari hali na mustakabali wa maisha ya Kijijini Kwetu. Haina maana ya kule nitokako bali hata kwako pia. Yawezekana huna ukakika kama sitafika! Karibu sana
Kwa vile TUNATAFSIRIWA UMASKINI. Yaani tuna mali wanayokuja kuchukua kupata pesa, lakini mali hiyo yaonekana kama uMASKINI ilhali wakishaiuza na kupata pesa (kwa faida) wanajiita maTAJIRI. NADHANI SISI NI MASKINI KWA TAFSIRI YAO, TAJIRI KWA TAFSIRI YANGU.
Akili fumbuzi!
ReplyDeletekutofunguka.
ReplyDeleteKweli kabisa Da subi!
ReplyDeletekufunguka kinamna gani Da Yasinta?
ReplyDeleteKwa vile TUNATAFSIRIWA UMASKINI. Yaani tuna mali wanayokuja kuchukua kupata pesa, lakini mali hiyo yaonekana kama uMASKINI ilhali wakishaiuza na kupata pesa (kwa faida) wanajiita maTAJIRI.
ReplyDeleteNADHANI SISI NI MASKINI KWA TAFSIRI YAO, TAJIRI KWA TAFSIRI YANGU.
Nawaza kwa sauti tu!!!