Wednesday, September 28, 2011

English Please!

Aaaah....labda kuna siku tutakuwa wakoloni ama waswahili kiuhakika!

4 comments:

  1. kaaazi kwelikweli...huko sekondari ni taabu tu na ndio wanafunzi wanatoka bila kitu

    ReplyDelete
  2. Habari za siku.
    Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

    Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
    http://blogutanzania.blogspot.com/
    kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
    Ahsante.
    Luiham Ringo.

    ReplyDelete
  3. Namkumbuka mwalimu wangu Kaihula ambaye alikuwa anajiita WALKING DICTIONARY.
    Yeye alikuwa mtaalamu wa kuchanganya lugha zote tatu (The great kiHAYA, kiSWAhili na kiingereza) na wakati mwingine neno moja linasemwa kwa lugha tatu zote. Ilikuwa jambo la kawaida kumsikia akisema "kwa hiyo therefore olweekyo". Duh!!!
    Na ilikuwa kama hujaelewa kwa kiingereza anakutafsiria kwa kiHAYA. Na kwa sie wana wa madarasa ya awali ilikuwa booomba kweli.

    Anyway......ILINGISH PULIIIZ

    ReplyDelete